pages/ kurasa

October 28, 2021

Mashindano ya Wafanyakazi wa serikali - AGRICOM SHIMIWI SPORTS TOURNAMENT chini ya Udhamini wa AGRICOM AFRICA LTD

 Wachezaji wakifurahia ushindi na medali zao katika mashindano ya SHIMIWI mkoani Morogoro. Mashindano haya yamedhaminiwa na kampuni ya Agricom Africa Ltd inayojihusisha na  uuzaji na usambazaji wa zana mbalimbali za kilimo zikiwamo Combine Harvester za Kubota, Trekta za kubota,Powertillers za kubota, Trekta za Swaraj, na vipuri mbalimbali.

Wasiliana : Agricom Africa Ltd kwa:   SMS/Simu/WhatsApp/Email

+255 745 350 778.     Email:  info@agricomtz.com        Tovuti: https://agricom.co.tz








Mteja wa Combine Harvester akifanya mazungumzo yakununua mashine yake yakuvunia mpunga kwa ofa maalumu ya kipindicha mashindano. 

Pichani akiwa na afisa mauzo na masoko wa Agricom Africa Ltd






Wasiliana : Agricom Africa Ltd kwa:  

 SMS/Simu/WhatsApp/Email: +255 745 350 778.     

Email:  info@agricomtz.com       Tovuti: https://agricom.co.tz