pages/ kurasa

September 24, 2009

UMUHIMU WA MATUKIO

Matukio mengi huwa yanatokea na kupita bila kuacha kumbukumbu. Harusi na matukio mengine katika maisha yana umuhimu wa kipekee na yanasitahili kuhifadhiwa na kuadhimishwa.

Hii ni nafasi ya pekee kwa wale walioyashuhudia na amabao hawakuyashuhudia kuweza kuona na kuendelea kujifunza, kuburudika kwa kuna mambo mbalimbali yakufurahisha katika kumbukumbu hizo.

Ni jambo la busara na muhimu sana kuweza kuweka kumbukumbu zako kwa njia yeyote ile mfano picha za mnato,DVD,VCD,VHS,CD nk.

Tushirikiane na tushirikishane matukio na habari mbalimbali za kufurahisaha tuwezekufikia malengo ya kuweka kumbukumbu na historia zetu.

1 comment:

  1. This blog is a very nice one. Please keep it up my friends!!!!!!!!!!!!
    Jef- Uk

    ReplyDelete