NDOA NA MAISHA/ MARRIAGE AND LIFE
Maisha ya mwana mume au mwanamke yeyote yule kabla ya kuoa au kuolewa huwa yamekosa jambo moja la kiuumbaji ambalo vitabu vyote vya dini vimelitaja nalo ni kuwa na masidizi.
The life of a Man a and a women before marriage always lacks one important thing according to all religious books and creation in general and that is why all the books did mention that thing been a HELPER!
Ndoa huwa na pande mbili na hivyo ukitaka uwe upande wa wale wanaofurahia ndoa unatakiwa kufanya mambo kadhaa ila kubwa na la msingi zaidi ni kumtanguliza mwenyezi mungu katika kila jambo kwani ndiye aliyeamuru na kuianzisha ndoa.
Marriage is a two sided, there is the side where some are happy and wish to re-marry while the other side those who are not enjoying at all.The secret here is making God FIRST in all you do then you will succeed.
Mambo mengine ni kukubakli yaishe pale ambapo mwenzi wako hataki kukuelewa. Namaanisha kuwa mwenzako anapokuwa juu kwa hasira au kutokubaliana na wewe basi wewe tulia kubaliana na hali kisha mweleze baadae kwa upole atakuelewa ila mkijifanya wote mpo juu hapatatosha hapo ndani.
Sometimes you have to agree or keep quiet.This is when your partner is angry nor over reacting they you calm down and let it go. Then you will calmly let him/her understand later otherwise there will never be understanding.
Shrikishaneni katika kila jambo .Hii itaondoa kuja kutofautiana pale mmoja anapojua kuwa mwenzie kafanya jambo bila kumshirikisha.
Make sure you involve each other in everything you do. This helps to avoid misunderstanding between you both
Matukio mengi huwa yanatokea na kupita bila kuacha kumbukumbu. Harusi na matukio mengine katika maisha yana umuhimu wa kipekee na yanasitahili kuhifadhiwa na kuadhimishwa.
Hii ni nafasi ya pekee kwa wale walioyashuhudia na amabao hawakuyashuhudia kuweza kuona na kuendelea kujifunza, kuburudika kwa kuna mambo mbalimbali yakufurahisha katika kumbukumbu hizo.
Ni jambo la busara na muhimu sana kuweza kuweka kumbukumbu zako kwa njia yeyote ile mfano picha za mnato,DVD,VCD,VHS,CD nk.
Tushirikiane na tushirikishane matukio na habari mbalimbali za kufurahisaha tuwezekufikia malengo ya kuweka kumbukumbu na historia zetu.
1 comments:
This blog is a very nice one. Please keep it up my friends!!!!!!!!!!!!
Jef- Uk
Post a Comment