NGORONGORO CRATER LODGE- THE BEST LODGE IN NGORONGORO

WE GO EXTRA MILE TO MEET YOUR EXPECTATIONS. YOU ARE WHY WE EXIST SO BE ASSURED OF INTERNATIONAL STANDARDS
MIKOPO YA MASHINE BILA DHAMANA

EFTA LIMITED
BULK SMS AND EMAIL MARKETING

CALL: 0762 461 460
TANAKI TOURS

EQUIPMENT LOANS

EQUIPMENT LOANS WITHOUT COLLATERAL
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
We love it!!!!!!!!!!!!

God is goooood!!!
AMOSI NA MKEWE
HATIMAE NENO LIMETIMIA
HARUSI YA AMOSI NA EMMA
WAFANYAKAZI WENZIWE WA TBC
AMOSI'S WEDDING
THE BEST WEDDING
KARIBUNI TULE TUNYWE
AMOSI'S WEDDING
A BIG NICE CAKE
HARUSI YA MROPE

MATHIAS NA MKEWE
MSURE WETU MATHIAS MROPE

HAPA KIJANA YUKO NA MY WIFE WAKE AU SIO!!!
MATHIAS MROPE'S WEDDING

NI HARUSI BOMBA SANA
HARUSI YA MATHIAS MROPE

UKAPERA BYEEEEEE!!!!!!!!!
TANZANIA
TULE KEKI , HII NDO SIKU YETU WIFE.
HARUSI YA RUTH NA KALUMANGA
HARUSI YA KALUMANGA NA RUTH
TUKATE KEKI TULE WIFE ETI EH!!!!!!!!!!!!!
KALUMANGA NA MKEWE
KALUMANGA AKIMSINDIKIZA MKEWE KUPELEKA ZAWADI KWA WAKWE
KEKI BABU KUWAAA!!!!!
Maharusi WAKITOKA KWA MAPOZIII!
Jamani thibitisheni kuwa tupo wawili kihalali au siooo?
Genoveva siku ya harusi yake
Genoveva at her wedding
HARUSI ZETU/ OUR WEDDINGS
Peter siku ya harusi yake
Peter at his wedding
Harusi ya Peter na Genoveva ST. Joseph DSM
Peter& Genovevas weddding
HARUSI GAUNI NA SUTI NYEUSI

THE WEDDING IN BLACK
HARUSI HII KALI SANAAA!!!!!1

UKUMBI NAO BLACK KINOMA
THE WEDDING IN BLACK

HARUSI SI LAZIMA MAVAZI MEUPE
BABA NA MWANA WAKITINGA KANISANI

NIMEKULETEA MKE KIJANA
TULE TUNYWE TUKO JUU MAMA

HII SIO YA MCHEZO
KANISANI

MZEE ANAENDA KUKABIDHI
KILA KITU NI KIPYAA KWETU

UBUNIFU HUOOO
WAPAMBE WA BIBI HARUSI HAOOO

RANGI NYEUSI NAYO NI BOMBA KUMBE!!!!!!!
HAOOO KANISANAI

SIO MCHEZO MAZEEE!!
KEKI BABU KUBWA

HATA KEKI NI BLACK
WABONGO MPO HAPOOOO!!!!!!! HUO NDO MPANGO MZIMA

MPANGILIO MMEUONAAAA!
GAUNI LA HARUSI

WEDDING DRESS
TBC WAKIPELEKA ZAWADI -HARUSI YA MINJA
Shemeji/wifi yetu Witness Emmanuel huwa tuko nae begakwa bega na hii ndiyo ishara ya ushirikiano wetu na yeye.
MDAU MINJA KATIKA HARUSI YAKE YA TAR. 10/04/2010
mIMinja na mkewe wakijiweka tayari kulishana keki/ ndafuuu!!!
HARUSI YA MDAU EMANUELI MINJA WA TBC -MARKETING
Emmanuel Minja na Witness mkewe wakijimwaga ukumbini!!
MAWIFI WANALETA SANDUKU
Send-off ya Lydia Nzega
AKINA TEMU HAO
Send-off ya Lydia Nzega
AKINA TEMU HAO
Send-off ya Lydia Nzega
WAKINA TEMU HAO
Send-off ya Lydia Nzega
WAZAZI A HANS
Send-off ya Lydia Nzega
pages/ kurasa
LYDIA KWENYE MSOSI
SEND -OFF YA LYDIA NZEGA
HANS KWENYE MISOSI
SEND-OFF YA LYDIA
LYDIA NA HANS KWENYE MISOSI
SEND OFF PARTY YA LYDIA
HANS AKIINGIA UKUMBINI
SEND-OFF YA LYDIA NZEGA
LYIDIA AKIINGIA UKUMBINI
LYDIA'S SEND -OFF PARTY
MAMBO YA BINT WA KINYAKYUSA HAYOOO!
LYDIA SEND-OFF PARTY NZEGA
WAZAZI WA BWANA HARUSI MTARAJIWA
LYDIA SEND -OFF PARTY NZEGA
MAMBO SI NDO HAYOOO!!!!!
NIBEBE NIBEBE!!!!!!
HANS WEDDDING AT NZEGA
WAZAZI WA PANDE ZOTE MBILI
HARUSI YA HANS MAKISA
MAMBO YA NZEGA HAYO!!!!!!!!!!!!
STEVE NA MKEWE JOYCE
KUDUMISHA MILA NI MUHIMU AU SIO?
JOYCE&STEVE WEDDING
TUNYWE TULE TUFURAHI JAMANI!!!!!
HARUSI YA STEVE
HAWA NI NDUGU ZANGU MKE WANGU..
HARUSI YA STEVE NA JOYCE
STEVE NA MKEWE
NI WAKATI WA KULA NA KUNYWA
HARUSI YA STEVE NA JOYCE
HONGERENI SANA
JOY NA MUMEWE STEVE
NI WAKATI WA KEKI MUME WANGU
STEVE NA MKEWE
MMEPENDEZA SANA.
HARUSI YA STEVE AXWESSO NA JOYCE MASWE
Wanasheria wala kiapo kuwa pamoja milele
STEVE NA MKEWE JOYCE
HARUSI N JAMBO JEMA.
STEVE AND JOYCE SEND-OFF
POKEA PETE YA UCHUMBA
SEND-OFF YA JOYCE KWA STEVE
HONGERENI SANA
SEND-OFF YA JOYCE MASWE
JOYCE KARIBU KWETU
JOYCE SEND-OFF PARTY
JOY HUYU NI WIFI YAKO MTARAJIWA WANGU
HARUSI YA MDAU GASIRIGWA
HARUSI YA MDAU GASIRIGWA WAKIKATA KEKI
HARUSI YA MDAU GASIRIGWA
GASIRIGWA NA MKEWE
ELAINE'S WEDDING- BONGO!

Haya ndo maisha au sio!!
HARUSI YA ELAINE BAKER

Harusi ya aina yake iliyofungiwa hapa kwetu bongo
HARUSI YA ELAINE

HARUSI BAB KUBWA
Emanuael & Sarah
One man 4 Women/ Dume moja wake 4!

Mmmmmh!
The Zulu man&Wedding!/Dume la kizulu laoa.

Mdau Enock Bwigane & wife Miriam
Tunatimiza maandiko!!!/ We are fulfilling the Writings
The Wedding Day!!!!!!!!

You look nice right!
Enock Bwigane's wedding

Happy Moments!!!!!!!!!!
HARUSI YA KASEA RIOBA/KASEA RIOBA'S WEDDING
Ni kweli tumefikia wakati wa kuishi pamoja sasa
HATIMAYE!!!!!!!/ AT LAST WE HAVE MADE IT MY DEAR WIFE!!!!!

PETER &ROSE. Hapa walikuwa wakitafakari kanisani wakati wa kufunga harusi yao. (Here they are chating during wedding ceremony at UDSM Chaple!)
Nakupenda!!!!! / I love youuu!!!!

Rose & Peter katika pozi (Peter & Rose in a nice pose)
BONGE LA KEKII!!!! ( What a huge Cake mh!!!!!!!!!)

Mh! hii hapa ni keki mwanzo mwisho au sio?/ This is a wonderful cake for this event right?)
Kukata keki/ Tasting the Cake eh!)

Peter anaonekana kama anasema Kata Keki tule mke wangu/Its like Peter saying Cut the cake so we can taste it my wife mh!!
NDOA NA MAISHA/ MARRIAGE AND LIFE
Maisha ya mwana mume au mwanamke yeyote yule kabla ya kuoa au kuolewa huwa yamekosa jambo moja la kiuumbaji ambalo vitabu vyote vya dini vimelitaja nalo ni kuwa na masidizi.
The life of a Man a and a women before marriage always lacks one important thing according to all religious books and creation in general and that is why all the books did mention that thing been a HELPER!
Ndoa huwa na pande mbili na hivyo ukitaka uwe upande wa wale wanaofurahia ndoa unatakiwa kufanya mambo kadhaa ila kubwa na la msingi zaidi ni kumtanguliza mwenyezi mungu katika kila jambo kwani ndiye aliyeamuru na kuianzisha ndoa.
Marriage is a two sided, there is the side where some are happy and wish to re-marry while the other side those who are not enjoying at all.The secret here is making God FIRST in all you do then you will succeed.
Mambo mengine ni kukubakli yaishe pale ambapo mwenzi wako hataki kukuelewa. Namaanisha kuwa mwenzako anapokuwa juu kwa hasira au kutokubaliana na wewe basi wewe tulia kubaliana na hali kisha mweleze baadae kwa upole atakuelewa ila mkijifanya wote mpo juu hapatatosha hapo ndani.
Sometimes you have to agree or keep quiet.This is when your partner is angry nor over reacting they you calm down and let it go. Then you will calmly let him/her understand later otherwise there will never be understanding.
Shrikishaneni katika kila jambo .Hii itaondoa kuja kutofautiana pale mmoja anapojua kuwa mwenzie kafanya jambo bila kumshirikisha.
Make sure you involve each other in everything you do. This helps to avoid misunderstanding between you both

Mh!! Unaonaje mke wangu?Mh!!! How do you fee my wife?

Haya ndo maisha mke wangu!!!! This is life my dear wife!!!!
Ukumbi wetu/ The wedding Hall

Huu ndio ukumbi uliofanyiwa shughuli./ This is the Hall where the wedding took place at Mbezi Garden Hoetel Mbezi Beach Dar-es-salaam
SAINI HAPA!!! SIGN HERE MR!!!

Peter akisaini cheti cha ndoa/ Peter Signing his Marriage certificate at the chaple
Mwaga wino hapa bibie!!! / Just sign here lady!

Rose akisaini cheti cha ndoa/ Rose signing here marriage certificate at chaple
BAADHI YA WANAkAMATI/ THE WEDDING COMMITTEE

Hao ni baadhi ya siri ya mafanikio ya shughuli yangu/ Some of the committee members that make it happen that day.
Tuko pamoja mzee!!!/ We are together buddy eh!!!!!!!

Watu kibaooo!!!! More..and more people eh!!!
Wazee wa akina Temu/ Get to know the Temu's family uh!!!

Wazee wetu hapa mjini/ These are the Temu's family representative in DSM
Kuinguia Ukumbini / Entering the Hall

ROSE NA PETER WAAKIINGIA UKUMBINI/ ROSE AND PETER GETTING INTO THE HALL.
HUYU MC NI NOMA!!!!SUPER MC !!!!

MC David Ambakisye akifungua shampaign/ THE SUPER MC MR DAVID AMBAKISYE OF UDSM OPENING SHAMPAIGN
No comments:
Post a Comment